kuhusu bidhaa yake kudorora ni wameshindwa kufanya research ya soko akaongee na kina shigongo wana elimu ya vp uweke bei itakayokuwa fair kwenye jamii nzima..kwa hyo bei yak amelenga wenye nazo 2 ambao wasio nacho ndo weng...kidogo kidogo hujaza kibaba.