Unamaanisha uzito unaegemea upande wa Yohana au? Ungetafuta na ile ya rais Uhuru Kenyatta akitoka kule ICC, kutoka uwanja wa ndege, JKIA hadi ikulu, sandwich ya watu mkuu, utadhani ni Loliondo. Muda mwingi wakenya tunakuwaga busy kwenye shughuli na biashara zetu. Labda iwe kampeni au tukio flani la maana. Sio watu wanakimbiza magari huku upande wa pili, samaki na vitumbua vyao vinaungua! 😀Hehehe angalia uzito wa mahaba na mapenzi ya wananchi kwa wote wawili.
Extravagant use of people's resources! JPM na msafara wa magari zaidi ya mia, makomandoo wenye bunduki wakiwa tayari kivita ni ubadhirifu wa kodi. Nyerere pamoja na kuongoza harakati za ukombozi na kufanywa lengo la Wabaguzi hakutumia hata robo ya gharama hizi tunazozishuhudia! Msafara wa Uhuru ni wa kistaarabu na to be honest nimestaajabishwa na ukomavu wa wakenya wa kutokimbilia na kulundikana barabarani kushangaa mtu anayejipitia!
Why are you crying this lauder like a baby?https://www.jamiiforums.com/members/naton-jr.391231/
Shame on you! Si uanze kulinganisha urefu wa twiga za Kenya na Tz sasa?
Hehehe umeona wivu JPM kukubalika na wananchi ulitaka mbowe ndio apate hayo mapokezi lakini that will never happen hata kwa tunduMkiambiwa Watanzia wana low IQ povu linawatoka. Ipo siku utalinganisha kimba la magu na uhuru
Hii lazima itakuwa ni ile lugha ya wachina. Inanikanganya sana.Why are you crying this lauder like a baby?
Mara nyingi tu rais Uhuru Kenyatta huwa anaendesha gari lake yeye mwenyewe, ndani yumo pekee yake. Kuna siku amesimamishwa na Traffic Police, ilibidi amsihi amuache apite. Nikipata hiyo video ntaitupia hapa. Hamna haja ya kukariri na mbwembwe nyiingi! Utamjua mtu vizuri tu kwa vitendo vyake.Extravagant use of people's resources! JPM na msafara wa magari zaidi ya mia, makomandoo wenye bunduki wakiwa tayari kivita ni ubadhirifu wa kodi. Nyerere pamoja na kuongoza harakati za ukombozi na kufanywa lengo la Wabaguzi hakutumia hata robo ya gharama hizi tunazozishuhudia! Msafara wa Uhuru ni wa kistaarabu na to be honest nimestaajabishwa na ukomavu wa wakenya wa kutokimbilia na kulundikana barabarani kushangaa mtu anayejipitia!
Afadhali hilo povu niende nikafulie shuka....Povu linasisitizwa
Mkuu usitake kuchanganya watu kwahuu uzi wa kitoto,sanasana umeuleta ili mpate nafasi ya kutukana .Wapenzi wana Afrika Mashariki kama kawaida nimekuja na hii mpya,
Motorcade au msafara una maana kubwa sana kwenye political arena na country superiority,
mimi kama jasusi wa kujitegemea na Mchambuzi sugu wa masuala ya kisiasa na kiuchumi mbobezi nilietukuka.
Nimetumia taaluma zangu zote niliotunukiwa na reputable and Noble Universities across the globe kusasambua msafara wa JPM na wa Uhuru, let me reserve my comment on the matter
Nikupe wasaa wa kuchambua mwenyewe msafara upi unareflect nobility kumzidi mwenzie.
Karibu
JPM motorcade
Uhuru motorcade
Povu linasisitizwa
Ni upumbavu uliokithiri kufananisha zama za awamu ya kwanza na ya tano,zama za nyerere naweza sema kama zama za teknologia duni,zama za zidumu fikra za mwenyekiti,zama za awamu ya tano teknologia iko juu,watanzania ni wajuaji,werevu,ulinzi kwa rais ni muhimu sanaExtravagant use of people's resources! JPM na msafara wa magari zaidi ya mia, makomandoo wenye bunduki wakiwa tayari kivita ni ubadhirifu wa kodi. Nyerere pamoja na kuongoza harakati za ukombozi na kufanywa lengo la Wabaguzi hakutumia hata robo ya gharama hizi tunazozishuhudia! Msafara wa Uhuru ni wa kistaarabu na to be honest nimestaajabishwa na ukomavu wa wakenya wa kutokimbilia na kulundikana barabarani kushangaa mtu anayejipitia!