Magufuli motorcade vs Uhuru motorcade, upi upo kilalahoi? na kibabywalker?

Wengi hawakumbuki rais mstaafu wa Kenya, MO1, profesa wa siasa mwenyewe alivokuwa anaimbiwa. Tawala Kenya, tawalaaaa, raisi Moi, tawala Kenya Tawalaa! Lakini laana aliyotuachia baada hiyo miaka 24 ya utawala wake, hadi sasa hivi inatukosti sana. Hayo ya miungu watu yalifutiliwa mbali milele na katiba yetu mpya ya 2010. Hapo tunawashukuru sana Raila Odinga, rais mstaafu Mwai Kibaki na serikali yao ya nusu mkate.
 
Kama hujui protocol nyamaza, unadhani jpm yuko extravagant kama udhanivyo? Security threat level za enzi za nyerere ni sawa na sasa?
 
These are things Africans should be ashamed of, not bragging over. In Europe, Prime minister's and noblemen board public transport and ride bicycles to work yet their subjects can afford top of the range cars. It's only in Africa where people like the thread's OP brag over the opulence of their president's motorcade while 98% of their population can not afford even a cheap car like a vitz or wingroad. Tokeni kwa huu ujinga. Sifa za kijinga ndio mnapenda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…