Wote ni marais ambao misimamo yao imekuwa haiaminiki kufanikiwa kwa baadhi ya raia wao lakini wakielekea kuwa na misimamo ileile na wakijitahidi kusimamia katika wanachokiamini kufikia katika wanayoamini ndio maisha Bora kwa wananchi wao siku za usoni
Rais wa Marekani,
Donald Trump na
Rais wa Tanzania,
John Magufuli.
Unadhani wanashabihiana kwa yapi?
Je, Huenda ni Marafiki?
Wanatofautiana kwa yapi pengine?
Je, Kila mmoja kati yao ataweza kufanikiwa kuifikisha Nchi yake kule anakowaaminisha raia wake na Dunia kwa ujumla?
Karibuni kwa mjadala wa Kistaarabu.
Ukitukana nakurushia Jini.
Nawasilisha.