aliyefeli form four akaenda ualimu mkwawa Nani atashindwa kumwelewa
Kamuulize Trump.Dettol tangu lini inaweza kudhibiti Corona?
Wa Brazil ni mental case ..kubwa zaidi..kuliko TrumpNa yule rais wa Brazili naye akili ni hizohizo. Tena afadhali hata Trump kidogo. Huyu wa Brazil (sijui anaitwa Bossonaro) aliulizwa anaonaje watu wanavyokufa kwa corona, akasema "mnataka niwafufue"
Hicho ndicho mtoa mada amejisahaulishaIla mmoja daily anafanya briefing kuhusu Corona hajajificha,akapitisha stimulus package ya 2 trillions $......
Linakera sana!