Magufuli, kama kicha cha habari kinavyosema, nimependa hii kitu na nna-uhakika Japan mtumba wa hii kitu hautofika hata Dollar elfu mbili, sasa baba yale matuta uliosema yaondolewe, naona jamaa wanafanya uzembe kuyaondoa, wananichelewesha:
Na hata spares sio shida kwani bank ziko na mtu anaweza kufanya transfer ili anunue hizo spares. Mbona kuna aina za magari ambazo spares zake hazipatikani Tz?