Umejibu vizuri mkuu,pia inawezekana mkubwa kwa umri kati ya mawaziri wote waliokuepo. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Umejibu vizuri mkuu,pia inawezekana mkubwa kwa umri kati ya mawaziri wote waliokuepo. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nimemaanisha enzi hizo, means Magufuli huenda alikuwa kiherehere ,ujue hadi uje uchukiwe na maboss wako wa ngaz za juu unyweshwe sumu ni suala la system kuamua...basi Kuna mkono huwa unasaidia wa nguvu za giza ...mfano kifo cha Daudi Balali, sumu ya mwakyembe, hata hiyo sumu aliyoongelea Magufuli ni system tu ...hizo zote huwa ni siri zimejificha tu ndan yake. Mimi na wewe tnakuja kufahamu baada ya tukio...Rais siyo kiherehere ndg!
Mmhhh wewe umeenda mbali..Enzi za Mkapa 1995 Membe na Magufuli walikuwa wadogo sana.Alimaanisha senior cabinet minister, Bernard membe.
Usikwepeshe ukweli.hilo linajulikana.membe aliwadhuru wengi sana kwa tamaa zake za urais.
Alimaanisha senior cabinet minister, Bernard membe.
Usikwepeshe ukweli.hilo linajulikana.membe aliwadhuru wengi sana kwa tamaa zake za urais.
Bm hakuwa Waziri kipindi cha Mzee MkapaAlimaanisha senior cabinet minister, Bernard membe.
Usikwepeshe ukweli.hilo linajulikana.membe aliwadhuru wengi sana kwa tamaa zake za urais.
Nimemaanisha enzi hizo, means Magufuli huenda alikuwa kiherehere ,ujue hadi uje uchukiwe na maboss wako wa ngaz za juu unyweshwe sumu ni suala la system kuamua...basi Kuna mkono huwa unasaidia wa nguvu za giza ...mfano kifo cha Daudi Balali, sumu ya mwakyembe, hata hiyo sumu aliyoongelea Magufuli ni system tu ...hizo zote huwa ni siri zimejificha tu ndan yake. Mimi na wewe tnakuja kufahamu baada ya tukio...
Sawa
Siasa mchezo mchafu. Siku ile wazee walipoitwa ikulu mzee wa Hanang akawa na uthubutu wa kumuangalia Ngosha machoni.Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.
Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
wakati wa mkapa membe alikuwa senior minister?Alimaanisha senior cabinet minister, Bernard membe.
Usikwepeshe ukweli.hilo linajulikana.membe aliwadhuru wengi sana kwa tamaa zake za urais.
HahahaHuyo akikumbuka kitu kwenye kichwa chake atakisema muda huohuo mbele za watu, sasa usiombe akumbuke kuwa ulisoma naye na ulikuwa unamuonea sana ujue umekwisha
Rais Magufuli juzi alitueleza kwamba enzi ya yeye alipokuwa Waziri katika Utawala wa Mkapa alipata kununiwa na Waziri mkubwa.
Swali ni Waziri yupi alikuwa mkubwa kipindi hicho? Kwa sababu Waziri mkubwa alikuwa mmoja pekee - Sumaye.
Nawe unaamini sumaye angeweza kumchukia magu ? Magu was a nobody ,sumaye was powerful [emoji23]Ule mshike mshike wa shamba la mzee kule mabwe kumbe ni sehemu ya malipo ya sumu ya Dodoma.
Kuna mtu alisema ni kuvimbewa[emoji23]Usikute alipata food poison tu kwa ubahili wake basi kelele