Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

Inawezekana ikawa kweli au uongo, maana nikikumbuka ya polisi Kituo cha Mabatini Kijitonyama, kulikuwa na kesi ya Salva Rweye kutaka kumuuwa!

Lakini sijui alitaka kumuuwa na kuandika habari za Sundi Malomo na nyumba za Serikali?
 
He better would have died, than this disaster which people go through
God has purpose on him, that's why he didn't die and still is here to stay, hopefully till 2025.
You and those assassins may try hard to throw peas at a wall hoping something will stick.

The way things goes, it looks like His Excellency John P.M is the God's chosen one!

Hapo chini ni ahadi ya Mungu kwa watumishi wake wateule.

Isaya 54:17 Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewe hazitafaa chochote kile. Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda. Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu.

Isaiah 54:17 no weapon that is fashioned against you shall succeed, and you shall refute every tongue that rises against you in judgment. This is the heritage of the servants of the LORD and their vindication from me, declares the LORD.”

Read more: 22 Bible Verses About God’s Protection
 
kama wale waliweza kuwa na uthubu wa kumnywesha sumu, hivi viongozi wa sasa wanashindwa vipi nao kutenda??
Wewe unaamini kuwa muuwaji aliyedhamiria kabisa atachagua sumu itakayomnusuru? Ila sio ajabu mie huyu jamaa nimeishi nae karibu sana huko zamani siwezi kupinga kuwa watu walijaribu kumnaniliu maana tabia zake zilivyo ni ngumu sana kuishi nae karibu hasa kwa sisi Watanzania.
 
Pole sana mkuu kwa kulishwa matango pori.
Nyie wafuasi wa Magufuli na CCM sijui mna laana gani, hivi zile risasi angepigwa Makonda, watuhumiwa wangekuwa Bado hawajakamatwa?

Yaani mnamtuhumu Dereva, iko wapi International warrant ya kumkamata Dereva?
Acheni kutumika na shetani, Magufuli atakuja kufa na kumwacha Tundu Lissu akiwa hai.
 
Amen, blessed for this strong message

Wasaliti wa Nchi wamebaki kama vichaa hawajui washike lipi
 
Even Tundu Lissu survived because God has a purpose with him, he's the 6th President of Tanzania.
Magufuli ordered his assassination even the world knows this, so Magufuli shall pass away and leave Lissu alive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…