[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe umesikia summary ya kitabu cha BWM (naendelea kukisoma naperuzi kurasa kiyellow page..kasema kabisa hakujua kama angekuja kuwa rais....JPM nae hadi alipewa sumu na kuundiwa zengwe kedekede kwenye cabinet...ila walikuja kuwa wanasiasa hadi kufikia the highest top political position) na kumbuka JPM huko nyuma kwenye ubunge mara mbili anaangukia pua ila alisimama.
Wanaotengenezewa njia bahat mbaya sana huwa wanalenga pale pale washatelezeshewa matokeo yake umate mate ukiisha nawao wanapuyanga, Godfathers wakiyumba nao wanayumba mazima. Hawajui kusimama na migu yao.
Mwanasiasa mzuri ni yule anayeishi na siasa, niyule ambaye siasa inamjenga kama alivyo ,the political situation creates him/her, hapo ndio utatoa monster wa siasa. Hawa wa kushikwa mkono na kusogezwa na kutengenezewa njia makusudi huangukia pua.
Ukisubiri kulenga penyewe utakosea sana mashimo, usiwe kama panya akikurupishwa anakimbia na lazima alitafute lile lile shimo lake ndimo hulenga kuingia. Kuwa kama mr.snakeman yeye ukimkurupua anaingia shimo lolote anatanguliza Mkia ila mwisho wa siku mkia unakua chini kichwa juu ya shimo.
Kila la kheri katika politics. Karibu kutamu kule usiogope