Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hapa naona samaki mkubwa anataka kuwameza samaki wadogo (majizi madogo)Mungu mbariki rais wetu Magufuli
Makonda sasa hivi ni tajir wa kutupwa,hata huyo Eliud Mwaiteleke ni mwizi kufuru alikuwa Misungwi kabla hajahamishiwa Chattle!nitajieni wezi 100 tu ambao amewatumbua na kuwafunga.
bwana jonathan malosa ni DED wakati ni mwizi wa kutiliwa mfano tangu alipokuwa DT.
Balozi ame mpungwe anamiliki hoteli ya kifahari hapa ifakara wakati ni mtumishi wa umma pesa kapata wapi.
makonda/bashite kaja mjini na malapa leo ni tajiri mkubwa pesa kapata wapi
mifano michache tu
Bashite ni aibu ya jiwe.Makonda sasa hivi ni tajir wa kutupwa,hata huyo Eliud Mwaiteleke ni mwizi kufuru alikuwa Misungwi kabla hajahamishiwa Chattle!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nae alikuwemo kuanzia bungeni had uwaziri, na inaliwa na chama kipi amalizie