Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Tumechoka na hayo mambo Bhana..
ππmoderator ee?ndio hawa mnaobishana nao humuModerator fanya kweli, kuna habari nyingi sana ambazo hazihusu Kenya kwenye jukwaa hili.
Wazee wakulaunch. Yaani since 1973 bado wanalaunch this dusty town as their capital city.
Aaah wapi! Hawa unaowaona humu wakiruka ruka ovyo ovyo ni vinyangarika flani tu.ππmoderator ee?ndio hawa mnaobishana nao humu
Asante mkuu.Tumechoka na hayo mambo Bhana..
Huna issues nyingine za kuongea kila siku tu ni huyo mtekaji??
Hii ni platform ya Kenya News, wapongeze hata Harambee Stars kwa kushinda jana sio mambo ya Dodoma..Dodoma...
Huoni aibu na news zako za kila siku Ndugu.
Ptuuui.
It's none of your businessWazee wakulaunch. Yaani since 1973 bado wanalaunch this dusty town as their capital city.
It is superiority complexHow is this Kenyan news? Inferiority complex kibao
ππππAaah wapi! Hawa unaowaona humu wakiruka ruka ovyo ovyo ni vinyangarika flani tu.
Wazee wakulaunch. Yaani since 1973 bado wanalaunch this dusty town as their capital city.
Wazee wakupinga hii miaka wameshikwa pabaya, mtamuita majina mengi sana mshua ila yeye kwa kipindi hiki ndiye Rais tu.Tumechoka na hayo mambo Bhana..
Huna issues nyingine za kuongea kila siku tu ni huyo mtekaji??
Hii ni platform ya Kenya News, wapongeze hata Harambee Stars kwa kushinda jana sio mambo ya Dodoma..Dodoma...
Huoni aibu na news zako za kila siku Ndugu.
Ptuuui.
Arusha is the Capital city of E.A.C[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamechanganyikiwa tu. Mara Arusha,Dodoma,Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa wapi ndio wapi. No wonder investors are running away/avoiding Tz ju hawajielewi.
Arusha is the Capital city of E.A.C
Dodoma is the capital city of Tz
Dar is the commercial city and logistic hub of E.A
Zanzibar is the tourist hub of E.A
Mtwara is the gas town of E.A
Tanga is the........oil............ of E.A
Morogoro is the........food.... of E.A
Mwanza is the..........fish....... of E.A
TANZANIA tamu sana[emoji1][/QUOTE
ππππand Tanzania the food of an imaginary Kenya
Poa.how about yah?