Magufuli orders arrest of a Don

Ukabila na ukanda unawasumbua ninyi mapro cccm, mbn hamtaji iko wap 1.5 trillion, akili maiti bana
 
If the old citizen misappropiated the public money let him face the law, as of now I think he's just a suspect, let's wait for the investigators to bring us clear truthful results,watu bado wanapiga tu hela, kweli binadamu ni kiumbe
The fun fact is they wont stop , no matter how tight the law is, there will always be a way, a style , and opportunity of stealing money. Thwy wont stop
 
The good is, JPM doesnt care if you're a don or not.
The bad thing they dont care about magufuli either.. they will steal. And even forthe next president.. they will. People always find new ways to do what they do.
 
Kenya ukipatika na ufisadi unapandishwa cheo ama unapewa cheti rasmi cha kugombea nafasi ya kisiasa na tikiti ya Jubilee πŸ˜€

Only in Kenya!
we Love our President,he is strong!!
All these come from +255
Tanzania Yetu,Mungu aibariki
 
wewe ni mwanaume usio na hekima..unapotoshwa na maneno yasio na msingi ya kahaba mange kimambi? Waliotoa reporti yenyewe walikanusha kwamba hizo ni porojo tupu
Hizo report zilihusu nini? Zilisema nini? Na zilishauri nini? Hapo kwanza!
 
Kwani ushuru unaolipa wewe pekee yako unafika 1.5Trillion? [emoji23] Alafu nilidhani wazee mkiwa retire huwa wanawapa hela za bure kila mwezi? Ushuru wetu huo, lakini hatusemi kitu. [emoji38]

Siyo wenyu bana, si walikuwa wanajichangia kwenye mfuko tangu wanaanza kazi wakiwa vijana wa miaka 25 hivi mpaka miaka 55 au 60.
 
Siyo wenyu bana, si walikuwa wanajichangia kwenye mfuko tangu wanaanza kazi wakiwa vijana wa miaka 25 hivi mpaka miaka 55 au 60.
Sikuwa naongea kuhusu pension za wafanyikazi wa serikali au mashirika makubwa. Wazee wote Kenya, hata wale ambao walikuwa wezi wakiwa vijana huwa wanapata kitu kila mwezi.
 
Sikuwa naongea kuhusu pension za wafanyikazi wa serikali au mashirika makubwa. Wazee wote Kenya, hata wale ambao walikuwa wezi wakiwa vijana huwa wanapata kitu kila mwezi.

Ahaaa haaa haaa
Hiyo inaitwaje!?
 
Mind your biz in Tz. Leave Kenya alone! Must you rope in Kenya in a purely Tz's affair for JPM to look good!?
 
Awamu hii ya tano, majina ya mush, kileo, minja, masawe , IGP mstaaf, nk kaz ipo, mlima Kilimanjaro utalipuka upya,
Inaonekana msukuma na mchagga damu hazipattani kabsa
Yaani mchagga kwa msukuma ni kama damu ya kunguni
 
I love this statement: He directed the police, the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), the University as well as the Ministry to take quick action on the matter or he would follow it up himself.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] is he capable of doing what PCCB and the police are doing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…