Magufuli si mchezo, wale majirani mnao mhadaa ipo siku mtakubali tu

Hiyo ishu ya umeme rufiji ilikuwepo tangu enzi za nyerere ni udhubutu kaonyesha tuu sii kwamba yeye ndo kabuni huo mradi labda nikuulize swali wewe mleta mada.
Ni kitu gani kipya ameleta au alichoahidi tangu aingie madarakani amekitekeleza tofauti na hivi amabvyo amevifanya ambavyo waliomtangulia walikuwa tayari viko kwenye mkakati
 

Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu ambaye unaweza ukamsifia Mtu mwenye anapanga plan halafu hawezi kuitimiza na ukamsifu? Ama mtu anakuambia mwakani nitakupeleka Mars halafu mwisho wa siku anafeli na ukamsifu? Je akijitokeza mtu akatumiza ahadi na akakupeleka Mars Je nani amefanya jambo la Maana? Ni aliyeahidi ama aliyekupeleka? Mwache Magufuli Bana huyu ndiye Musa wa Tanzania
 
Kwani Putin anajua kingereza? Rais wa China anajua hicho kizungu chenu? Peleka hesabu zako na kemia ndipo unajua NI Nani JPM
 
Hao waliomtangulia kwann hawakufanya uthubutu??!!
Actions speak more than words.
Waliomtangulia wameongea tuu ila yeye anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…