Magufuli: The Chemist, PhD holder, The Mega projects implementer, NYERERE HEP, SGR, ROADS, WATER SUPPLY, ETC

He is a chemical engineer my foot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema kweli ingelikuwa mimi ningelivibomoa kuondoa precedent /tabia ya watawala kujichukulia madaraka mkononi in disregard of the law!
Nadhani utakuwa Rais wa principal zaidi kuliko Rais wa watu. Imagine, nchi inahitaji 10,000 MW za umeme hivi sasa leo tumazalisha 1,500 MW tuu, unafukia mahandaki ya bwawa la Nyerere. Watu watakuekewa kweli ukisema unafuata sheria? Imagine wafanyabiasha wa kanda ya ziwa, kanda ya magharibi, kanda ya nyanda za juu kusini wanaotegemea usafiri wa haraka na hakika wa ATCL, utawaambia nini utakapoondoa hiyo huduma kwao? Hata kung'oa mataruma ya reli, watakish hawata kubali mpaka uwalipe fedha yote iliyobaki, lasivyo watabadilika na kuwa kama mkulima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…