kuna shida kwenye hesabu hapa atakuwa alikusahau kwenye ile orodha yake ya vyeti .Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;
Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo;
Naomba bunge letu litangaze kuwa Magufuli ni UNITY OF MEASURE FOR PRESIDENCY AND GOOD LEADERSHIP. Itakuwa hivi
Milimagu 0 - 15% of performance
Centimagu 16% - 29% of performance
Decimagu 30% - 59%
Magufuli 60% - 79%
Decamagu 80% - 89%
Hectomagu 90% - 99%
Kilomagu 100% +
Magufuli was a fool for thieves and very few fools in this Tanzania, it will not be easy for any leader with good intentions like Magufuli to lead a country full of corrupt people everywhere, corrupt people, thieves of school certificates, air workers, money grabbers. etcMagufuli was a country bumpkin.
You seem to be one too, that's why you don't know the difference between "unity" and "unit".
Wakukaririr sasakuna shida kwenye hesabu hapa atakuwa alikusahau kwenye ile orodha yake ya vyeti .
Typo error, it’s unit. Thanks bogaMagufuli was a country bumpkin.
You seem to be one too, that's why you don't know the difference between "unity" and "unit".
That's more than a typo, more like you have a problem with the phonetics and spelling of that language. That's why you chose y out of all the letters.Typo error, it’s unit. Thanks boga
Pantosha naomba ufafanuz milimagu akifanikisha nini, umeme, majiTukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;
Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo;
Naomba bunge letu litangaze kuwa Magufuli ni UNITY OF MEASURE FOR PRESIDENCY AND GOOD LEADERSHIP. Itakuwa hivi
Milimagu 0 - 15% of performance
Centimagu 16% - 29% of performance
Decimagu 30% - 59%
Magufuli 60% - 79%
Decamagu 80% - 89%
Hectomagu 90% - 99%
Kilomagu 100% +
Anybody can just write. The truth stands out.That's more than a typo, more like you have a problem with the phonetics and spelling of that language. That's why you chose y out of all the letters.
Msome nguli Profesa Issa Shivji kaandika kirefu na kisomi ushamba wote wa Magufuli.
Tulishaliweka bandiko la kisomi hapa.
Thread 'Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia' Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia
Bado nimeziacha wazi ili kila mtu Afanye ratings zake mwenyewe.Pantosha naomba ufafanuz milimagu akifanikisha nini, umeme, maji
Decimagu ni nini asipouza misitu, Ngorongoro, Bandari?
Decamagu ni nini kuthibiti rushwa, nauli. Mfumuko wa bei?
Hectomagu ni nini, kuwajibisha watendaji wake na kuteua watendaji sahihi?
Kilomagu ni nini, kuwasikiliza wananchi na kero zao au kufanya ziara Ulaya, seminars, makongamo, warsha?
Umemsoma Shivji au ume dismiss tu kabla ya kusoma?Anybody can just write. The truth stands out.
Magufuli will forever remain the unit of measure.