mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
MAGUFULI ni Kwame NKURUMA au ni Fidel Castro wa karne ya 21, KIU yake kubwa ilikuwa kuona mabadiliko ndani ya Bara la Africa na mioyo ya waAfrica. Alidhamiria kuondoa mabaki ya utumwa kichwachi kwa Watanzania na Bara la Africa kwa ujumla, Mara ZOte aliyasema maneno nakutekeleza kwa vitendo koti lake lilipendezeshwa na nembo ya AFRIKA popote Alipo.
Wapo Watanzania Wazalendo na wasioWatanzania Wanaendelea kumuenzi kwa Mazuri Aliyoyatenda kwa Taifa hili,Lakini pia Wapo Wanaoendelea kufuta yale yote Mazuri nakutangaza mabaya kwa udi na uvumba kwalengo lakuondoa Legacy yake kwa Taifa hili Wnashindwa kuelewa Magufuli Atatawala milele maana alifariki madarakani na Hakukabidhi Madaraka kwa yeyote.
Wakati baadhi ya Watanzania Wakiendelea kuenzi mazuri ya Magufuli wapo wazalendo wengine nnje ya bara la Africa wakiendeleza kutambua mchango mkubwa NAkuamua kufunga Safari kutembelea Makumbusho ya Hayati Magufuli.Picha hii ni baadhi ya Wajerumani wakiuzunika mbele ya makubusho ya mwamba Magufuli. Wameahidi kufika CHATO alipolala mwamba Wa Africa.
Pumzika kwa Amni Mwamba wa Africa dunia Na Wazalendo .tunakukumbuka Daima.