Tetesi: Magufuli University of Science & Technology Memorial (MUSTM) Kujengwa Chato?

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato.

2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia.

3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake.

RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
 
Kichwa cha habari na content tofauti kabisa , “kujengwa” halaf content “yaafa kujengwa kwa heshima yake”

hizi zinakuwa si tetesi as ni mawazo yako wewe.

Tukirudi kiuchumi kuna ulazima kuwa na chuo ukanda huo maana tayari viko vingi?
 
1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato.

2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia.

3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake.

RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
Chato jina la kichawi nashauri uitwe mkoa wa Magufuli.
 
Kati ya akili za ovyo nchi hii ni kila kitu kupewa majina ya viongozi!

Back
Top Bottom