She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 939
Habari wababa na wamama
Kwanza kabisa nimshukuru sana Rais Magufuli kwa ahadi ya kuwapa viwanja mashujaa wetu wa Taifa Stars baada ya ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda.
[emoji17]NAWAKUMBUSHA;[emoji17]
Kama tujuavyo MTIBWA SUGAR ndo mabingwa wa ligi ya shirikisho maarufu kama F.A. msimu uliopita(2017/2018)
Kwenye shamrashamra za kusherehekea ushindi huo RC wa Morogoro aliwaahidi kuwapa viwanja ndani ya Mkoa wake wachezaji wote wa Mtibwa kama zawadi na motisha lakin mpaka sasa kimyaaa.
Vijana wa watu walijiandaa vizuri sana kuanza ujenzi lakin hamna cha viwanja mpaka sasa. Wapigwa na butwaa kuona mwaka sasa unakata kimya.
Na hii imekuwa kama tabia kwa viongozi wetu ya kuwatoa watu mate na kuwaacha solemba.
CHONDE RAISI HAKIKISHA UNATIMIZA AHADI YAKO, ILI TUWEZE KUKUTOFAUTISHA NA RC WAKO TAPELI.
Sent using Jamii Forums mobile app