MAGUFULI WAPE KAZI MAJAMBAZI.

MAGUFULI WAPE KAZI MAJAMBAZI.

Mr Alola

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
473
Reaction score
675
Siku chache zimepita wakati tunaangalia taarifa ya habari kuna mzee mmoja wa CCM aliposikia Magufuli akitishia kubadili noti kwasababu watu wameficha pesa akaangua kicheko cha dharau.

Nikamuuliza "Kada mbona umemcheka mwenyekiti wa CCM taifa?

Akanijibu kuwa mwenyekiti amekosa washauri.

Nikamuuliza ingekuwa wewe unamshauri ungemshauri afanyaje ?

Akajibu angemshauri awape kazi MAJMMBAZ wakazitafute hata kwa mtutu.

Kila mtu alicheka na kumzomea kuwa yeye hamnazo.

Akaingilia kada mmoja wa ACT akadakia iwe hivyo TuKOSE WOTE.

Nilichogundua ni kwamba thinking ya CCM ni sawa na ya ACT na wote wamekata tamaa.

They all think KUWASHUSHA MALAIKA KUWA MASHETANI bila kujali watapata faida gani.

Hakika hatuwezi kufika kama mtizamo ndio huu
 
!
!
usishangae akaufanyia kazi ushauri huo wa kuwatuma majambazi. Maana mifano yake tu kwenye hituba utachoka. Ni Libya Iraq Syria na kadhalika
 
Back
Top Bottom