Na hasa kwa wapinzani aina ya kina Kubenea wanaokwenda kuchungulia shanga badala ya kujadili matatizo ya waliowatumaKama kila rais atakuwa kama Magufuli
Kweli upinzani hii nchi wataisikilizia tu radioni.
Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-KagameRais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.
Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.
Sasa si mfute tu vyama vingi mbaki wenyewe?
Kule zanzibar mmeachiwa nchi na cuf na bado mnalia lia badala ya kufurahia ushindi wa mezani.
Bhangi na mirungi vitahalishwa rasmi muda si mrefu kwa mujibu wa mbunge wa ccm 'Msukuma'Kapiga Marufuku Wanywa Viroba kuota kushika hatamu Bara na Visiwani!