Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Kwa Kauli Ya Huyu Mnaye Muita Rais,
Kuna Haja Ya Yale Ya Tunisia, Misir, Libya na Syria,jiandae Kuua Wengi Mwaka Huu Maana Kauri Hii Itawatbu CUF Zanzibar
 
Endapo yeye alizaliwa basi ajue pia atakufa tu, utawala wa kudumu duniani ni utawala wa Mungu tu kwani yeye ni Alfa & Omega. Yaliyo salia yana mwisho.
 
Asante kwa taarifa mtawala wa milele.

Kwa hiyo issue ya kutawala ni kuwa CCM tu, simple like that.
 
Kwani alihutubia kama nani? I hope alihutubia kama mwanachama! Ila kama alihutubia kama raisi basi akajitazame upya kwenye kioo!
 
Nitaendelea kuipinga ccm kila kona sitaogopa kufa kwasababu sioni uhai wa nchi chini ya Maccm naichukia ccm kuliko kitu chochote duniani
 
Asante kwa taarifa mtawala wa milele.

Kwa hiyo issue ya kutawala ni kuwa CCM tu, simple like that.


Mpaka pale mbadala wa CCM atakapopatikana na kwa hali jinsi ilivyo simuoni siku za usoni!
 
Umekata maneno mengine ili iweje???
 
mbona kuna maneno umekata hapo ulikuwa na maana gan!!!!
 
Mpaka pale mbadala wa CCM atakapopatikana na kwa hali jinsi ilivyo simuoni siku za usoni!
Uko sahihi kwa 100%. Ndiyo maana tuna vichwa lukuki ndani ya chama chetu cha Majambazi
 
Siyo Kuongoza TanZania, hilo ni NOPE!
kama nyi mnamsikiliza huyo kiongfozi wenu malumumba mmepotoka
hii nchi ni watz .,nawao waTZ ndo wanaamua hapa huyu pombe
ameanza kujilevya na madaraka nayeye ashaanza kuandaa mazngra ya kutawala milele???
hivi ushawahi kujiuliza kwanini mkwere alisema ntalala usingiz jpm akiwa rais,...
unajua haya mambo lazma ujiulize kma mwananchi wa kawaida hawa ccm watatawala hadi lini???
kikwete mzee kwahiyo tutakuja tena kutawaliwa na watoto zao????miaka ya baadae na kwanini iwe hivyo???
je hamna watz wenye uwezo wa kuongoza au ndo kutetea maslahi baada ya wizi wa rasilimali za wananchi
 
Zanzibar michirizi ya damu hadi baharini siku si nyingi.
 
nyie ndio wachonganishi....hajaishia apo amesema kwa kua ccm wanafanya yale ambao wananchi wanayahitaj so wapinzan hawatakua na nafasi yakuchaguliwa...wewe naona unaandika ujinga ujinga tu
Myoa post kaongozwa na ushabiki mkuu asamehewe tu maana bado anazjngusha mikono
 
Mkuu kama unafuatilia post nyingi hapa jf jana nilipost uzi mmoja unaosema ccm waanza kuuumbuwana na sasa magu kaamua kuwahakikishia watanzania kuwa wao kama ccm hawatakubali kuheshimu maamuzi ya wananchinya kuamua ni chama gani wanataka kiwatawale
 
Watashinda sababu idadi ya watu wanaoichukia ccm inazidi kuongezeka.
Ni kweli mkuu lakini,anayosema ndio wanayoyafanya ulitegemea Magufuli amshide EL??bila kuchakachua kura zake??ni kuchakachua na kutumia nguvu pia ccm ni hiyo hiyo hadi zanzibar maneno yake si ya kuyapuuza huo ndio ukweli wenyewe.
 
Namuunga mkono kwa kauli yake kwani hata yeye uchaguzi huu hakushinda , yupo pale kibabe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…