Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

nyie ndio wachonganishi....hajaishia apo amesema kwa kua ccm wanafanya yale ambao wananchi wanayahitaj so wapinzan hawatakua na nafasi yakuchaguliwa...wewe naona unaandika ujinga ujinga tu
Tanzania inasumbuliwa na ugonjwa wa watu kupewa habari nusu nusu, ugonjwa huu huambatana na mwingine ambao ni upotoshaji wa ujumbe unaokusudiwa, lakini dawa ya kuyatibu magonjwa haya ni uanzishaji wa mamlaka itakayosimamia utendaji wa vyombo vya habari.
 
hey we juha
CCM ameanzisha nani????na hadi akawa anapanga list
muasisi alipanga akitoka mwinyi anakuja flani,akitoka huyo flani then flani na kuendelea
think deep
usiwe na hoja finyu kma bongo zenu lumumba zilivyo


CCM mwenyewe ni Watz na siyo mtu au familia moja na kama ipo itaje na uweke ushahidi lkn mimi naweza kukwambia kwamba chadema ni Mali ya Mtei na ushahidi upo wazi Mwenyekiti wa Chama ni mtoto wake na hachaguliwi na kikao chochote kile cha chama na yeye ndiyo anaamua nani awe mgombea uraisi na nani asiwe, sasa nakupa changamoto nitajie nani mmilikiwa uliacha CCM WatanZania?
 
Kama tu Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa Chama bila hata ya uchaguzi na ndiyo anaamua nani agombee Uraisi na asingombee je akiwa Raisi wa nchi kuna dalili yoyote ile ya yeye kuachia madaraka?
kwani yeye ndo anaamua?????
hii nchi ni ya katiba huru so atafata katiba sio mawazo yake kma wenu mr roporop;o
 
Anasema hayo hata hajafikisha miezi sita kwenye madaraka.Imagine akifikisha miaka saba atasemaje!!
 
Ninaweza kukutajia ni lini kutakuwa na Uchaguzi CCM wa kuchagua Mwenyekiti wa Chama nitajie ni lini kutakuwa na Uchaguzi chadema wa kuchagua Mwenyekiti wa chama!
sina hakika na tarehe ila uchaguzi unafanyika na yeye alichaguliwA KUWA PALE
 
hii inaonyesha ni jinsi gani hujakomaa kisiasa,...
mwenyekiti wa chama lazma awe kiongoz wa upinzani bungeni


Kama wewe ungekuwa umekomaa kisiasa bai pia ungeelewa kwamba Kingozi wa Chama Dunia nzima kwa nchi zenye demokrasia hujiuzulu wadhifa pale anapoongoza Chama chake kwenye uchaguzi na kushindwa, Mbowe ameshindwa Uchaguzi mara tatu na bado ni Mwenyekiti chadema!

Halafu nitajie ni lini kuna uchaguzi wa kuchagua Mwenyekiti wa chadema?
 
Hatuitoi, hatuitoi, kwanza nchi tumeipata kwa mapinduzi hatuwezi kuiacha kwa kura za karatasi labda watupindue, na kutupindua hawawezi maana sisi ndio wenye "MADARAKA". Mareheme Asha Bakari Makame
 
sina hakika na tarehe ila uchaguzi unafanyika na yeye alichaguliwA KUWA PALE


Nitajie basi hata mwaka au jinsi utaratibu ulivyo kwa maana kwa mfano kama CCM liko wazi kwa kila mtu kujua, sasa nitajie Mbowe alichaguliwa na kikao gani?
 
CCM SIO ya watz ni kikundi cxha wezi wachache wapiga dili na kuhujumu rasilimali za watz
 
Huo hujumbe hauusiani na Zanzibar maake ni miaka 39 ya ccm tanganyika
 
we hujielewi qaqa sinahaja ya kukuelekeza inaonyesha hujui mambo mengi sasa ntajipa kaz hapa kukufanulia mambo ya ndani ntapoteza mda bure
unasumu za lumumba wewe
 
KAMA Alivyokuwa Yeye Hakujua Kuwa Iko Siku Atakuja Kuwa RAIS Wa TANZANIA!! BASI Vivyo Hivyo Iko Siku Wapinzani Watakaa Madarakani!! PASIPO Yeye Na CCM Yake KUJUA!! Otherwise Yawe Yale Yale Ya Kuchakachua Na Kupora USHINDI, Kama Ilivyokuwa 28 Oct 15 ZANZIBAR!!! KAMA Yeye Na CCM Yake WATAENDELEA Na MIPANGO Hiyo, Ni SAWA KABISA Wapinzani Wasahau!!!
 
Sasa si mfute tu vyama vingi mbaki wenyewe?
Kule zanzibar mmeachiwa nchi na cuf na bado mnalia lia badala ya kufurahia ushindi wa mezani.
Kuwa na vyama vingi si lazima vishike dola..! Siasa siyo MTANI JEMBE, eti kwa vile yanga tu ndo anafungwa mechi za mtani jembe basi mtani jembe imefutwa. Hii ni ligi, hata kama ubingwa unaenda Jangwani miaka kumi mfululizo lazima ligi iendelee, siyo kufuta timu zingine eti ubaki na timu bingwa.
 
we hujielewi qaqa sinahaja ya kukuelekeza inaonyesha hujui mambo mengi sasa ntajipa kaz hapa kukufanulia mambo ya ndani ntapoteza mda bure
unasumu za lumumba wewe
Tehe tehe teh....! ukubali ukweli ili uwe huru..! chadema ni mali ya familia mtei.. wengine wote ni abiria wa treni..!
 
Kwani alihutubia kama nani? I hope alihutubia kama mwanachama! Ila kama alihutubia kama raisi basi akajitazame upya kwenye kioo!
CCM hakuna cheo cha urais..! Hilo lilikuwa dongo kwa Lowasa anajinasibu kugombea tena 2020.
 
Kwa Kauli Ya Huyu Mnaye Muita Rais,
Kuna Haja Ya Yale Ya Tunisia, Misir, Libya na Syria,jiandae Kuua Wengi Mwaka Huu Maana Kauri Hii Itawatbu CUF Zanzibar
Hakuna hata mpemba mmoja atakaye kufa ila wakileta za kuleta watasombwa wote na kuhamishiwa bara, maana bado tuna mapori ya kutosha huko Katavi na Rukwa kuwatosha wapemba laki tano kupata viwanja.
 
Huyu jamaa anapenda kutawala hata juzi kwa majaji alidai atajua rais wa malaika mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…