MAGUFURI alisema anawapenda walimu!! je walimu kero itaisha? hebu pita hapa kwanza useme lako.

Joined
Jul 12, 2014
Posts
61
Reaction score
17
je!! walimu wanaweza kunufaika na dr. pombe kwa kuwa yeye n mwalimu. alisema kero yenu kuu naijua maana na mm n mwalimu! pia alisema hata kama wanafunzi watasomea chini ya mti ila kama mwalimu atapata mshahara wa mkubwa wanafunzi watafauru2! unasemaje ww!!!
 
Mwaka huu ccm hata washuke na malaika kura yangu itakwenda UKAWA
 
Kura za walimu

Thats all I can see....for the benefit of doubt
 
nani amekwambia magufuli ndio rais.
hapa ukawa mwanzo mwisho, yani mwaka huu labda washinde kwa hilo bao la mkono
 
ukawa wengi wao ni machizi siwezi kuwachagua! slaa ndio ovyo kabisa,mlafi wa kutupwa! bora msimamishe lipumba na si huyo kizee ambaye hana jipya tena,la sivyo lile wimbi la chopa 3 kata 3 linawanyemelea kwa kasi ya ajabu sana
 
Hivi Ni Kweli SHETANI akizeeka nageuka MALAIKA?

CCM INAWEZA KUWA NZURI KWA WANANCHI? Jana m'kiti anasisitiza "MASLAHI MAPANA YA CHAMA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…