Magulu-ku- Taabu: Msamiati mpya kutoka kwa Rais Samia

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Imekuwa ni kawaida kupata misamiati mipya kutoka kwa marais ofisini.

Huu ni msamiati mpya kwa wale wapendao kuishi kwenye taabu:

Your browser is not able to display this video.

BAKITA wakae mkao wa kula.

Haikosi msamiati huu unawahusu zaidi wale Simba na chui wa kizimkazi.

Kwenu Mahulukutaabu:

Habari ndiyo hiyo.

Pia soma:Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…