Simwamini Lisu hata kidogo. Kama aliweza kumbagaza Mbowe kiasi hiki, mimi ni nani asinifanyie uhuni kama aliomfanyia Mbowe ambaye alikuwa wa kufa na kuzikana naye! Huyu haaminiki kwangu (sijui wengine).
ULAFI WA MADARAKA......LISU ANA ULAFI WA MADARAKA..MTU HATARI SANA
TAKE NOTE: BEFORE, LISU WAS MY MOST FAVORITE POLITICIAN, A LOVED ONE.... KUMBE NI NUNDA MLA WATU! KWELI IKINYESHA UTAONA PANAPOVUJA.