Magwanda ya CHADEMA yaundiwa zengwe UDOM

Halafu magwanda haya haya wanavaa usiku kwenye Ujambazi.
 
jitahidi kutokuwa mvivu wa kufikiria ndugu. kwa kusoma comment yako nimeweza kujua profile yake yote.
 
Hata wafanyaje tutayavaa sana haya magwanda,hapa ofisini tuna mpango wa kuyafanya yawe sare yetu ya kazi.
 

Kama uongozi wa UDOM unataka ueleweke kwamba hauko kwa masilahi ya chama fulani,
basi pia wapige marufuku uvaaji wa nguo zenye rangi ya KIJANIna NJANO, maana hiyo ni rangi ya chama fulani.

Ngoja tuone kama uongozi wa UDOM hauna double standard?
 

If this is not a concerted fabrication, it must be a matter of grave concern. How on earth can a Tanzanian talk to a fellow citizen with that "FIRST ORDER ARROGANCE"? Now I know, the country is not safe any more.
 
ccm wanataka wajihakikishie kuwa kila chuo ni pro ccm,=huo ni ujinga,wangejaribu kujiulizani wanajeshi au polisi wangapi pamoja na uniform zao wanasupport chadema au vyama vingine vya upinzani-jibu ambalo wangelipata lingewafunga mdomo
 
Bora wapige marufuku hayo Magwanda, wamekwenda kusoma au kuvaa magwanda kama kuna wanafunzi wanataka kuvaa Magwanda wasubiri wamalize chuo

Hali ni tete haaaa?hata vazi la langi ya kakhi nalo tishio? basi msishangae mswaada wa kupiga marufuku kuvaa mavazi ya kakhi kutinga mjengoni maana sasa magamba wameishiwa kabisa mbinu za kupambana na cdm
 
Haya wewe unaolijua endelea kuvaa hayo Magwanda tuone kama hao CDM watakusaidia chochote zaidi ya kukupa pole na kuitwa mpambanaji

Bora kuitwa mpambanaji kulilo kuitwa fisadi, huwezi pewa pole kwa kuwa fisadi bali utaambulia laana na mauti ya aibu kama gadafi vile
 


Nakubalina na wewe.Waambie hao vijana hasa hapo kwenye underlined red.
 
kweli ritz uwezo wako wa kifikiri unaporomoka kila kukicha,we unahisi kwamba kuvaa kaki ndo ukwenda kusoma
 
Bora wapige marufuku hayo Magwanda, wamekwenda kusoma au kuvaa magwanda kama kuna wanafunzi wanataka kuvaa Magwanda wasubiri wamalize chuo

Wapi kwenye katiba yetu pamoja na ubovu wake panopokataza wanavyuo wasijiunge na vyama?? walipochangisha pesa na maandmano kwa ajili ya kuchukulia fomu za kugombea urais kwa mgombea wa ccm ilikuwa sio tatizo,. mbona unaongea kama idiot???
 
Wasipo kuwa makini na hawa Magwanda wanaweza kuingia na silaha darasani
 
Nafikiri watachemsha, siku ya interview(KONGAMANO) tuliokuwa hall la 3 yule msimamizi alitoa kauli:
"mlivyokaa msifikiri ndo mwisho, tutawatenga kule waliovaa magwanda na kule TLP hapa hakuna CCM.........."
Waliokuwepo watamkumbuka huyu mzee alikuwa mnene.
 
Bora wapige marufuku hayo Magwanda, wamekwenda kusoma au kuvaa magwanda kama kuna wanafunzi wanataka kuvaa Magwanda wasubiri wamalize chuo

kipengele kipi cha sheria kinamkata mtu kuvaa nguo anayoipenda mkuu?Hivi ccm bado haijasoma nyakati,wakileta zile nitatembea uchi kwenda th.romz and sr romz.
 
<br><br>majungu ndio ya watanzania.., alichokifanya mlacha udom ni cha kupongezwa lakini kwakuwa kila kitu siasa lazima mtaponda tu.., tatizo si udom ni hazina wenyewe kama hao jamaa hawawekewi hela kwenye ac ya chuo unategemea walipe nn sasa..,acheni ujinga watanzania fanyeni kazi msiendekeze itikadi zisizo na tija..,hapo udom akija kuondoka mlacha ndio watasoma namba kinabo kila siku anajitahidi kuhangaikia mitaala na kupambana na tcu huyo director human resources kama sikosei anaitwa mama sawasawa nenda udom kaulizie work perfomance yake mpaka wanajiuliza kwann achukuliwi serikalini., vc nae inaonekana perfomance yake ni nzuri..,acheni udini watanzania..,fanyeni kazi&nbsp;
 
Mbona hata Nyerere alivaa magwanda enzi zile za uhuru,hawa watu hofu zitawamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…