Magwiji wa zamani wa Simba unawajua? Wataje

Hivi Yusuf Macho hakuchezeka kwanza Yanga kweli?

Kwa muda sasa nimekuwa napendekeza hawa wachezaji wa zamani wawe wanaalikwa katika gemu na wawe wanatambulishwa mwanzoni mwa mechi au wakati wa mapumziko hata katika spika za uwanjani tu.
 
Amecheza Reli Morogoro,Waziri Mkuu ya Dodoma,Yanga,Jomo Cosmos ya South Afrika na Simba.
Aha, nilijua tu kuna kitu kama hicho. Ila anaonyesha hana cha kujivunia alipokuwa Yanga na hata historia inamkumbuka zaidi kama mchezaji wa Simba.
 
Kulia nadhani ni Emmanuel Gabriel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…