Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kipi kizuri kati ya kuchungulia na kuujua ukweli au kuendelea kujidanganya uko salama na wakati sio?
mdakuzi nae anachabo simu yako?
Hii nimeipenda bure japo sio vizuri kuchungulia chungulia simu ya mpenzi wako.
kiukweli mimi siwezi,tena nikiona mume wangu simu inaita huwa nampisha kwanza apokee,hata simu yake ikiita huwa siangalii nan anapiga,nimejijengea hivyo tangu mwanzo sasa siwezi kabisaaaaaa
Apana Mimi chunguza
Mie ndo zangu situlii nikichezwa na machalee