Kufagia ni ishu ndogo sana bosi. Siku nyingine wanatakiwa wakubebeshe ile ndoo ya kinyesi ukaifanyie usafi.Kwa wanaojua sheria hebu nijuzeni umekamatwa kwa kosa la jinai ukawekwa Mahabusu asubuhi unakabidhiwa fagio ufagie eneo la nje la kituo cha polisi je ni sahihi kufanyishwa kazi hiyo?
Najua ile ndoo inabebwa na mahabusu kwa vile ndio walioitumia tambua nimeuliza kisheria na sio ujibu kwa maono yako au nawe ni Afande?Kufagia ni ishu ndogo sana bosi. Siku nyingine wanatakiwa wakubebeshe ile ndoo ya kinyesi ukaifanyie usafi.
Yoyote atakaepita tu mbele ya post mkuu unapewa fagio!!! natania mkuu wangu..... ila Huwa inategemea na location ya Post km kipo karibu na Magereza basi wafungwa hufatwa kwa shughuli hiyo MkuuKama hamna mahabusu wiki nzima anafagia nani?
Na kama kituo kipo mbali na magereza patabaki kuwa pachafu?Yoyote atakaepita tu mbele ya post mkuu unapewa fagio!!! natania mkuu wangu..... ila Huwa inategemea na location ya Post km kipo karibu na Magereza basi wafungwa hufatwa kwa shughuli hiyo Mkuu
Basi Mimi au Wewe tukikatiza kalibu na post tutapewa tu ufagio Maana Hakuna namna!!! ila Mimi sifagii mkuu!!! Joke!!! czan km kituo kinaweza Kukaa wiki hakijapata mtalii hata Wa nusu saa tu MKUU!!!Na kama kituo kipo mbali na magereza patabaki kuwa pachafu?