Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa hapo chini:
Mgeni rasmi sheikh Mussa Kundecha na wageni wengi wamehudhuria wakiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ya Hudaibiyah Master Juma Almasi.
Aidha Mwenyekiti wa Jumuia ya wataalamu wa kiislamu (TAMPRO) ni miongoni mwa waliohudhuria na kujumuika na wazazi na wahitimu wa kidato cha nne na wanafunzi wengine.
......
Dr. Harith Nkussa
Msemaji Maalum wa Mufti
Jumamosi 5.10.2024
Dar es salaam