Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Acha upumbavu kwenye mambo ya msingi!Cv ya musa kundecha tuwekeeni.Hasa ya elimu yake
Mgeni wa heshima mahafali ya wasomi wa chamazi sekondari CV yake ya elimu inatakiwa kuelewekaAcha upumbavu kwenye mambo ya msingi!
Umesikia anagombea cheo serikalini mpaka umdai CV!!
Alikua na kalio?Daah. Ba mkwe.
Nilikuwa nampenda sana binti yake Mwajuma wakati tunasoma IFM.
Nusu nislimu.
Na wataishia tu na kelele nyingi za Takbiriiiiiiiii!!!!!. Kama wako Gaza kwa HamasBadala wamualike Bakhresa au MoDewji, GSM au Babra.... Hapo wataishia kupiga madufu tu na kupigana albadir, hawatapata chochote
Kila laheri wahitimu..Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa hapo chini:
Mgeni rasmi sheikh Mussa Kundecha na wageni wengi wamehudhuria wakiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ya Hudaibiyah Master Juma Almasi.
Aidha Mwenyekiti wa Jumuia ya wataalamu wa kiislamu (TAMPRO) ni miongoni mwa waliohudhuria na kujumuika na wazazi na wahitimu wa kidato cha nne na wanafunzi wengine.
......
Dr. Harith Nkussa
Msemaji Maalum wa Mufti
Jumamosi 5.10.2024
Dar es salaam
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Badala wamualike Bakhresa au MoDewji, GSM au Babra.... Hapo wataishia kupiga madufu tu na kupigana albadir, hawatapata chochote