Mahafali Mzumbe: Profesa awataka wahitimu kuvua majoho na kofia kwani ajira bado ni chache

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mlau wa mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe yanayofanyika leo Novemba 24, 2024 mkoani Morogoro Profesa Hawa Tundui amesema ajira ni chache lakini fursa bado ni nyingi, na hivyo kuwataka wahitimu wote wavue kofia na majoho na kufanya kazi yoyote ambayo ni halali kwa kujiingizia kipato.

Kadhalika amegusia historia yake kwa kusema yeye baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza hakupata ajira, lakini aliamua kuanza ujasiriamali wa kufuga kuku.

Your browser is not able to display this video.

Video: TBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…