Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

Mimi ni mwislamu mkuu πŸ˜‚. Lakini napenda haki itendeke.
Yaani mimi niko tofauti na hizo Taasisi ,bahati nzuri nimesoma markazi tatu pale Tanga : Zahrau , Shamsil na Nurul huda...So sijui mambi ya ushabiki wa Taasisi wala sina page Taasisi zaidi ni mashekhe tu wanaotoa masomo mbalimbali kama Osma maalim na kishki, hata yule Jalala namfutilia ni wa nyumbani... Sheikh Mkubwa wa BAKWATA ni wa nyumbani ila ni vile sipendi ushabiki wa Taasisi..
 
Leta ushahidi
Unataka risiti au nakala za cheki?.. BAKWATA ipo kulinda mfumo kristo,ukiondoa BAKWATA unabaki na akina ponda na sheikh kundecha,miaka miwili tu CCM chali, mfumo kristo chali
 
Unataka risiti au nakala za cheki?.. BAKWATA ipo kulinda mfumo kristo,ukiondoa BAKWATA unabaki na akina ponda na sheikh kundecha,miaka miwili tu CCM chali, mfumo kristo chali
Sisi wakristo tunamtaka Shehe Ponda, ambaye ni msomi na mpenda haki. Asiyehongwa Ubwabwa
 

24 December 2025

MWANASHERIA MKUU WA BAKWATA AELEZEA MAANA YA HUKUMU YA LEO ILIYOTOLEWA NA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA. SHEIKH PONDA ANAPOTOSHA ​


View: https://m.youtube.com/watch?v=xr0sVtqVUcgBAKWATA wasema kina Sheikh Ponda wanaleta taharuki kwa umma asisitiza mwanasheria wakati akiongoa na waandishi ili kuweka mambo sawa kufuatia hukumu ya kesi namba 27063 / 2924 iliyotolewa na masjala ndogo ya Mahakama Kuu ya Tanzania

Kesi 27063 / 2924 iliyokuwa inasikilizwa na jopo la majaji Mwanga, Mbangwa na Mwizu ambapo waislamu walilalamikia registrar of civil society, administrator general kwa kwenda kinyume na ibara za katiba, ibara ya 13 usawa mbele ya sheria na ibara 19 ya uhuru wa kuabudu na ibara ya 20 ijayohusu kujumuika na wengine ambayo wasalili hao wawili wamekuwa wakiwataka watu kwenda kupata barua ya utambulisho kutoka BAKWATA na hali hii inakwenda kinyume na ibara 13, ibara 19 na ibara ya 20 zote zilizo ktk Katiba ya Jamhuri ya Muungano

Supreme society ni ipi hiyo ni BAKWATA (1968) au ...
 
Chadema wanaunga mkono harakati zozote zinazoipinga ccm hata kama zina fubaza usalama wa nchi hii

Maoni yangu waislam wacheze karata zao vizuri wasije ingia mtego wa divide and rule policy
 
Bakwata ni kikundi cha wahuni, chenye kuijua dini, wanaitumia dini kwaanufaa yao wenyewe.
Nilishangaa hivi karibuni kabla ya Dec 9, masheikh wakubwa kabisa wanaita press kumjibu Mange.
Masheikh wanamchamba mange, pale ndio niliona kuna tatizo.

Masheikh wanaojilewa hawapaswi kabisa kuhangaika na mange
 
Kila kitu kina ubaya na uzuri wake, Bakwata ni mpango wa ccm kufubaza makali ya extremist Muslim nchi hii na uliasisiwa na Nyerere

Lakini pamoja na hayo kusingekuwa na hiyo Taasisi nchi hii isingekalika kwa uhasama wa kidini

Lakini pia waislam wangeonewa sana kwenye taasisi za kiserikali maana wagalatia wamejazana humo na wanafanya majengo ya Serikali kama makanisa kwa waliosoma Iringa, mbeya watatoa ushahidi

Bakwata ipingwe kwa ustaraabu Ina mazuri yake mengi tu kwa waislamu wa nchi hii japo kuna mengi pia inakosea mfano kupanga sherehe za kidini kuendana na ratiba ya viongozi na mengine mengi
 
BAKWATA nashauri wasikate rufaa maana waislamu wengi hatutaki na ni batili hatuitambui
 
Vyema mkuu, ushabiki hausaidii.
 
TOKA MAKTABA:

MZEE MOHAMED SAID - BAKWATA MWIBA MZITO KWA WAISLAMU WA TANZANIA

Sheikh Mohamed Said akitoa muhadhara kwa vijana wa kiislamu kufahanu historia ya taasisi za kiislamu Tanzania na michango ya taasisi hizi :

View: https://m.youtube.com/watch?v=IvodWTgWpSMEast African Muslim Welfare Society, migongano ya waislamu tanzania kwa kufuata asili ya mtu.

Mambo yakawa mazito 1968 muafaka miongoni mwa waislamu wa Tanzania ukashindwa kufikiwa.

Kina mama wa kiislamu watokwa macho kwa hali hii ya waislamu kuhitafiliana kwa kuangaliana asili, badala ya kuwa umma mmoja usio na chembe za kibaguzi .

Kuanzia hapo maendeleo na mipango ya waislamu ikavuzurugika, makundi ndani ya uislamu Tanzania yakaibuka

Wafadhili waliotaka kujenga Chuo Kikuu chini ya ufadhili wa Aga Khan wakatoweka kutokana na kutofautiana waislamu ndani ya Tanzania

Mzee Mohamed Said akaendelea na mudhara wake akawapa changamoto wanafunzi kama wanaelewa kwanini wanavaa hijabu, haikuwa kazi ndogo nitawaeleza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…