makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Wale ni wahuni tu, mie sijawahi kuwa na imani nao.Nilishangaa hivi karibuni kabla ya Dec 9, masheikh wakubwa kabisa wanaita press kumjibu Mange.
Masheikh wanamchamba mange, pale ndio niliona kuna tatizo.
Masheikh wanaojilewa hawapaswi kabisa kuhangaika na mange
Sisi wakristo tunamtaka Shehe Ponda, ambaye ni msomi na mpenda haki. Asiyehongwa Ubwabwa
Hela sijaipoteza ndiyo maana mimi siyo mtumwa wala chawa, nyie mnaoishi kwa matumaini ya kutupiwa makombo ndiyo muitafute.Unamuwaza sana bwanaako Abdul,tafuta hela wanao wasije chukia wenye nacho
Vurugu za waislamu wewe hazitakuathiri? Sikukuu za kiislamu serikali itafanyaje maana wana haki kusherehekea sikukuu yao.Kama wao wenyewe hawataki huo umoja na hawawezi kutoa tafsiri ya kitabu chao, kwanini serekali ilazimishwe kufuata kundi lisilokubalika?
Mmiliki wa mali ana haki ya kuuza mali. BAKWATA hawajawahi kuuza mali ya muislamu isipokuwa,mali ambazo zipo chini ya mamlaka yake, hao waislamu ni kina nani mali zao zilizouzwa? Anarchy haina nafasi kwa kisingizio cha mali za waislamu, kwa nini hao waislamu walizikabidhisha BAKWATA halafu anatokea mpuuzi mmoja nje anadai mali za waislamu! Tafuta mali yako binafsi uifanye vile unataka, BAKWATA wana haki ya kuuza na kununua au kupokea mali.Huu uongo wa kiwango cha just viwanja vya waislamu hati zipo Bakwata viuzwe na Wakristo aisee hii ni uongo mkuu mimi ni muislamu nasema waliouza vile viwanja ni Waislamu nilifatilia kwa ukaribu sana nikajua ujinga wao nikawapuuza.
Nyie Bakwata ni wezi bhana ndio maana waislamu hawana maendeleo ya kweli kama wakristo wakati wao wanapata misaada mingi tu sema kwa sababu shule hawana wapo busy kuuza ushawahi kuona wakatoriki wanauza ardhi watu wana Ardhi mpaka Chunya huko walipata miaka ya 1970 mpaka leo hawajauza na eneo limekua wanawaza kujenga Vyuo ninyi sasa wenye Elimu za kuunga unga mmefanya Bakwata kama duka lenu.Vurugu za waislamu wewe hazitakuathiri? Sikukuu za kiislamu serikali itafanyaje maana wana haki kusherehekea sikukuu yao.
Mmiliki wa mali ana haki ya kuuza mali. BAKWATA hawajawahi kuuza mali ya muislamu isipokuwa,mali ambazo zipo chini ya mamlaka yake, hao waislamu ni kina nani mali zao zilizouzwa? Anarchy haina nafasi kwa kisingizio cha mali za waislamu, kwa nini hao waislamu walizikabidhisha BAKWATA halafu anatokea mpuuzi mmoja nje anadai mali za waislamu! Tafuta mali yako binafsi uifanye vile unataka, BAKWATA wana haki ya kuuza na kununua au kupokea mali.
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam
AmenMimi ni mkatoliki lakini shehe ponda nakuelewa sana