Mahakama Kenya yapewa msaada wa computer 40 kuwezesha video conferencing

Mahakama Kenya yapewa msaada wa computer 40 kuwezesha video conferencing

Geza Ulole,
Ulikuwa unataka tukatae msaada? Ama ni wivu kwa sababu ninyi hamjapata msaada?
 
huwezi jua ni kitu kigeni kwenu! Mtafika level ya electronic courts soon! Don't worry! endeleeni kupokea computer za msaada!
Wakileta tena tutapokea tu,
Naona ume quote mtu kuhusu e-court halafu ukampa uzi wa e-governance...

Sasa e -court na e-governance zinaendana kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaa!!
Nyie wakiwapa kataeni, hata pia mkisamehewa madeni vile vile kataeni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishakataa pesa za wachina $10b na juzi juzi viongozi wa Afrika walivyosagwa kama ng'ombe kwenda kuomba pesa kwa Xi jinping sisi wenye akili tukachomoa. Matest kit yao ya kupima corona tumeyakataa.

Hayo ndiyo maamuzi ya kibeberu.

Tumekuwa hivyo toka zamani tuliwahi kuvunja uhusiano na Waingereza tukipinga wao kumkubali Ian Smith (Zimbabwe) nyie hamjawahi kuwa na jeuri hiyo.
 
Bora hivyo, kuliko wabunge wa Tanzania wanalazimishwa kukutana bungeni, wakati bungeni kuna wabunge washafariki kwa Covid-19.

Sioni kwa nini wabunge wasikutane mtandaoni.
 
Bora hivyo, kuliko wabunge wa Tanzania wanalazimishwa kukutana bungeni, wakati bungeni kuna wabunge washafariki kwa Covid-19.

Sioni kwa nini wabunge wasikutane mtandaoni.
Sssshhhh punguza sauti, praise team hawataki kuelezwa ukweli.

***btw, bashite alikuwa serious?? na kama hivyo, mbona asianze kwa kumkamata mumewe aliyetorokea chato??
 
Bora hivyo, kuliko wabunge wa Tanzania wanalazimishwa kukutana bungeni, wakati bungeni kuna wabunge washafariki kwa Covid-19.

Sioni kwa nini wabunge wasikutane mtandaoni.
Waneambiwa warudishe pesa waliyochukua kwa ajili ya kuhudhuria vikao, haiwezikani waondoke na pesa walishalipwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom