Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Baada ya middle income Kenya kutembeza bakuli sio? Si Majuzi mlikuwa mnashindana nasi juu ya e-courts!Ulikuwa unataka tukatae msaada? Ama ni wivu kwa sababu ninyi hamjapata msaada?
From food donations to computer donations, who can predict the next donations?, only God knows.Ulikuwa unataka tukatae msaada? Ama ni wivu kwa sababu ninyi hamjapata msaada?
They have offered themselves to be Guinea pigs! Just yesterday!From food donations to computer donations, who can predict the next donations?, only God knows.
Taifa ombaomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
From food donations to computer donations, who can predict the next donations?, only God knows.
Taifa ombaomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
E-courts ndio nini geza[emoji24][emoji24][emoji24]Baada ya middle income Kunyaland kutembeza bakuli sio? Si Majuzi mlikuwa mnashindana nasi juu ya e-courts!
eGovernance: Kenya vs Tanzania - JamiiForums
Hata nynyi mliomba 5 million ikabidi tuka donate wakati wa lile janga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]From food donations to computer donations, who can predict the next donations?, only God knows.
Taifa ombaomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua ni kitu kigeni kwenu! Mtafika level ya electronic courts soon! Don't worry! endeleeni kupokea computer za msaada!
Wakileta tena tutapokea tu,huwezi jua ni kitu kigeni kwenu! Mtafika level ya electronic courts soon! Don't worry! endeleeni kupokea computer za msaada!
Sisi ni namba nyingine, hamtuwezi...basi tuu huwa hatupendi kujimwambafai.Wakileta tena tutapokea tu,
Naona ume quote mtu kuhusu e-court halafu ukampa uzi wa e-governance...
Sasa e -court na e-governance zinaendana kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaa!!Sisi ni namba nyingine, hamtuwezi...basi tuu huwa hatupendi kujimwambafai.
Tulishakataa pesa za wachina $10b na juzi juzi viongozi wa Afrika walivyosagwa kama ng'ombe kwenda kuomba pesa kwa Xi jinping sisi wenye akili tukachomoa. Matest kit yao ya kupima corona tumeyakataa.Bwahahaa!!
Nyie wakiwapa kataeni, hata pia mkisamehewa madeni vile vile kataeni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sssshhhh punguza sauti, praise team hawataki kuelezwa ukweli.Bora hivyo, kuliko wabunge wa Tanzania wanalazimishwa kukutana bungeni, wakati bungeni kuna wabunge washafariki kwa Covid-19.
Sioni kwa nini wabunge wasikutane mtandaoni.
Waneambiwa warudishe pesa waliyochukua kwa ajili ya kuhudhuria vikao, haiwezikani waondoke na pesa walishalipwa.Bora hivyo, kuliko wabunge wa Tanzania wanalazimishwa kukutana bungeni, wakati bungeni kuna wabunge washafariki kwa Covid-19.
Sioni kwa nini wabunge wasikutane mtandaoni.
Wakirudisha pesa itakuwa poa tu?Waneambiwa warudishe pesa waliyochukua kwa ajili ya kuhudhuria vikao, haiwezikani waondoke na pesa walishalipwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona waambiwe na makonda? hivi ana cheo gani bunge?Waneambiwa warudishe pesa waliyochukua kwa ajili ya kuhudhuria vikao, haiwezikani waondoke na pesa walishalipwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ndo kawaambia warudishe pesa?Mbona waambiwe na makonda? hivi ana cheo gani bunge?
Bunge haliba taratibu ya ku-deal na mambo kama hayo?