[emoji23][emoji23][emoji23]I rather enjoy how the checks and balance system works in Kenya.
In Tanzania, if Magufuli sneezes, the judiciary and legislature catches fever.
And before any pitiful nationalistic battle ensues.
I am above that shyt.
For real bro.[emoji23][emoji23][emoji23]
poleni sana waTanzania. na jiwe linazidi kuwa gumu as time goes on...For real bro.
Mimi raia wa kuzaliwa wa Tanzania, na najua mahakama ngazi za juu zinajitahidi kidogo, so I do not totally trash Tanzania.
Lakini balls za kurudia uchaguzi au kupinga sheria iliyowekwa sahihi na rais kwa sababu za kisheria mahakama za Tanzania hazina.
Bunge ndiyo kabisaaaa. Kama lingekuwa na mke, Magufuli angeweza kusema namchukua mkeo awe wangu, halafu Bunge lingechekacheka tu.
Why, Magufuli alishawahi kuamrisha Bunge la Tanzania lipeleke fedha za tafrija ya kufungua Bunge (inaugural cocktail party) ziende kutoa msada hospitalini.
Granted, I have no problem with austerity, there were grounds to justify something like that.
But the way it was carried out it was like totally disrespectful to the independence of the judiciary.
It was as if Magufuli was trying to say "let me test you all and see if anyone will challenge what I say".
Nobody challenged him.
Next thing he did, he appointed people as MPs, and before the oath of office as MPs was administered (which is a prerequisite for one to be an MP, which is a prerequisite for one to be a cabinet minister), the guy went and made them cabinet ministers.
So, we had people whowere cabinet ministers before they were MPs.
While it is stipulated that all cabinet ministers must be MPs.
The guy is like a mini Idi Amin when it comes to trashing the rule of law.
Jiwe gumu hata Kenya, ila katika kudanganyana mambo ya demokrasia na checks and balance, tumerudi nyuma sana.poleni sana waTanzania. na jiwe linazidi kuwa gumu as time goes on...
mkuu...jambo linalofanya Kenya kuwa na demokrasia angalau ni katiba....nina uhakika kama tungekuwa bado na ile katiba ya zamani tungekuwa na shida za rais kujifanya mungu...kumbuka rais Daniel Moi...hata huyu Uhuru najua angelewa mamlaka pia...ila baada ya kupitisha katiba mpya mwaka 2010, nguvu za rais zilipunguzwa kwa kiasi na kugawanywa katika mashirika mbali mbali kama mahakama na bunge...hivyo, hata nyie mnaweza mkapiga hatua hii kirahisi tu...shida kubwa tu ni kuwa opposition kwenu ni dhaifu sana...haiwezi hata ikaitisha referendum bila kupingwa vikaliJiwe gumu hata Kenya, ila katika kudanganyana mambo ya demokrasia na checks and balance, tumerudi nyuma sana.
Inawezekana ni jambo zuri pia.
Ujue mtu anayekudanganya vizuri sana anaweza kukufanya ujione hudanganywi.
Halafu anayekudanganya vibaya akakuamsha uone unadanganywa.
Sasa hivi hata wale vimbelembele waliokuwa wanamtetea wengi wanaanza kupata kigugumizi.
Mimi nilishaona haya yanakuja na kusepazangu Marekani miaka kama ishirini hivi iliyopita.
Sitaki ujinga.
Do you think it is over? and the government will accept? The government will appeal against this block... and i can assure you they will win this...ndio nimeipata habari leo KTN nimefurahi sana...sheria ile ilikuwa ya kukandamiza wananchi....shukrani kwa mahakama na katiba ya 2010 haswaa...
mkuu...jambo linalofanya Kenya kuwa na demokrasia angalau ni katiba....nina uhakika kama tungekuwa bado na ile katiba ya zamani tungekuwa na shida za rais kujifanya mungu...kumbuka rais Daniel Moi...hata huyu Uhuru najua angelewa mamlaka pia...ila baada ya kupitisha katiba mpya mwaka 2010, nguvu za rais zilipunguzwa kwa kiasi na kugawanywa katika mashirika mbali mbali kama mahakama na bunge...hivyo, hata nyie mnaweza mkapiga hatua hii kirahisi tu...shida kubwa tu ni kuwa opposition kwenu ni dhaifu sana...haiwezi hata ikaitisha referendum bila kupingwa vikali
Mahakama hiyo hiyo ilisema uchaguzi wa urais urudiwe na ukarudiwa. Kwani unasahau haraka aje. Mahakama ya Kenya hapana machezo.Kama mahakama hiyo hiyo ilizuia Miguna kufurushwa na akafurushwa then hakuna jipya hapo.
Ingia kwenye kumi na nane za Kenyatta au Kiambu mafia halafu uone kama hiyo constitution ya Kenya itakusaidia usi disapper kwenye hii dunia. Africa ni Africa tu .hehehe mwambie hii ni kenya....hii sio tz ambapo rais ndio mungu wa pili...kenya has functioning institutions....the constitution is more powerful