Abdull Kazi JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 337 Reaction score 296 Oct 26, 2021 #41 Hamatan said: Majaji wa awamu ya 5, wengi wao hawakuwa judges bali maafisa wa TISS. Hatuna uhakika na huyu lakini ni wa kutiliwa madhaka makubwa. Click to expand... Kwani mtu kuwaTISS ndiyo kigezo cha kutokutenda haki?
Hamatan said: Majaji wa awamu ya 5, wengi wao hawakuwa judges bali maafisa wa TISS. Hatuna uhakika na huyu lakini ni wa kutiliwa madhaka makubwa. Click to expand... Kwani mtu kuwaTISS ndiyo kigezo cha kutokutenda haki?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 26, 2021 Thread starter #42 Semahengere said: Hapo sasa Mbowe amefungwa. Click to expand... Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 26, 2021 Thread starter #43 Abdull Kazi said: Kwani mtu kuwaTISS ndiyo kigezo cha kutokutenda haki? Click to expand... Tiss ndio inayotumika kwenye uchafu wote wa nchi hii , ni sawa kuwa ni Taasisi ya ccm tu
Abdull Kazi said: Kwani mtu kuwaTISS ndiyo kigezo cha kutokutenda haki? Click to expand... Tiss ndio inayotumika kwenye uchafu wote wa nchi hii , ni sawa kuwa ni Taasisi ya ccm tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 26, 2021 #44 Ahsante Kwa taarifa...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 9, 2021 Thread starter #45 Hii ni hatari sana !
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Nov 9, 2021 #46 Kamugumya said: You are innocent until proven guilty. You may add beyond reasonable doubt. Click to expand... Acha theory za ulaya, ulaya rais hawezi akasema aliyoyasema BBC na usemi ule ulihitimisha kesi ya Mbowe.
Kamugumya said: You are innocent until proven guilty. You may add beyond reasonable doubt. Click to expand... Acha theory za ulaya, ulaya rais hawezi akasema aliyoyasema BBC na usemi ule ulihitimisha kesi ya Mbowe.
vipik2 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,845 Reaction score 2,258 Mar 9, 2022 #47 Magembe sociable said: Huyu Ni mtoto wa kada mtiifu wa CCM,mzaliwa wa mkoa waKagera wilaya ya muleba tarafa ya nshamba kata ya BIIRABO kijijji Cha Bugarama kitongiji Cha kyaibumba.tumtakie Kila heri katika jukumu zito alilopewa. Click to expand... Huko mahakama kuu ni nani na nani walikaa na kukubaliana kuwa Jamaa anafaa kumalizia kesi hii, natafuta CV za wahusika zilizonyooka bado nipo gizani
Magembe sociable said: Huyu Ni mtoto wa kada mtiifu wa CCM,mzaliwa wa mkoa waKagera wilaya ya muleba tarafa ya nshamba kata ya BIIRABO kijijji Cha Bugarama kitongiji Cha kyaibumba.tumtakie Kila heri katika jukumu zito alilopewa. Click to expand... Huko mahakama kuu ni nani na nani walikaa na kukubaliana kuwa Jamaa anafaa kumalizia kesi hii, natafuta CV za wahusika zilizonyooka bado nipo gizani
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 9, 2022 #48 Per diem zimekata now
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 9, 2022 #49 elvischirwa said: Acha theory za ulaya, ulaya rais hawezi akasema aliyoyasema BBC na usemi ule ulihitimisha kesi ya Mbowe. Click to expand... Wananchi Ulaya wangeendamana
elvischirwa said: Acha theory za ulaya, ulaya rais hawezi akasema aliyoyasema BBC na usemi ule ulihitimisha kesi ya Mbowe. Click to expand... Wananchi Ulaya wangeendamana