Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
byandegwaro, hakuna ukweli wowote kuhusu hili. Uamuzi wa ICC ni wa mwisho. Kazi ya Mahakama Kuu sio kujadili wala kuridhia as if ina mamlaka ya kuamua chochote. Kazi ya Mahakama Kuu ni kuisajili tuu hukumu ile kwa ajili ya utekelezaji, nothing more, nothing less. Mkataba ndio umeipa ICC mamlaka ya mwisho.Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini, zenye kuashiria kwamba serikali ilikuwa tayari kuilipa Dawans, zimetafsiriwa na wadadisi wengi wa habari kuwa zina lengo la kuishinikiza mahakama kuu kuridhia malipo hayo. Kuna ukweli wowote juu ya tafsiri hii?
byandegwaro, hakuna ukweli wowote kuhusu hili. Uamuzi wa ICC ni wa mwisho. Kazi ya Mahakama Kuu sio kujadili wala kuridhia as if ina mamlaka ya kuamua chochote. Kazi ya Mahakama Kuu ni kuisajili tuu hukumu ile kwa ajili ya utekelezaji, nothing more, nothing less. Mkataba ndio umeipa ICC mamlaka ya mwisho.
Uhuru wetu hauwezi kuwa uhuru kama tunaweza
kutawaliwa kupitia mikataba ya kina curll-max,
ingekuwa na maana kama hiyo dowans ingekuwepo
kwenye hilo taifa la asili ya biashara yake,
kwa kuwa hakuna dowans hakuna taifa
litakalojaribu kutaka sheria kukaziwa.
'tuliridhia mkataba' ambao ni siri kama ilivyo
mikataba mingine, watanzania haturidhii kodi zetu zitumike kuwalipa wahuni wa kimataifa.
Tz ni mwanachama wa mahakama iliyotoa hukumu, hivyo hamna ujanja hela zitalipwa tu, kinachofanyika hapa ni kiini macho tu. Nchi tunaliwa kilasilimali mchana mchana na tunawachekea viongozi wetu wakati wanafilisi nchi