ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Katika maamuzi yao yaliyotolewa na Jaji Muguru Thande wa Kitengo cha Katiba na Haki za Binadamu Milimani, mahakama imemzuia Waziri wa Fedha Njuguna Ndung’u na Mwanasheria Mkuu Justin Muturi na Mamlaka ya Mapato Kenya KRA kutotoza, kuiimarisha au utekelezaji zaidi wa sheria hiyo anbayo ilitarajiwa kuanza rasmi Julai 1, 2023, ikisubiriwa usikilizaji wa kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah.
Amri hizo zilitolewa baada ya Omtatah na wanaharakati wengine wanne kuwasilisha maombi ya uharaka wakiomba kusimamishwa kwa utekelezaji wa Sheria mpya ya Fedha 2023 ambayo ilitiwa saini na Rais Ruto siku ya Jumatatu na kuelezea kuwa ilikuwa kinyume cha katiba.
Wakati wakiomba amri ya muda itolewe wanaharakati hao walmjulisha jaji kwamba sheria iliyopitshwa na utawala wa Kenya Kwanza inapelekea kuwalazimisha wakenya kulipa kodi bila ya mpangilio wala uhalali.
Walioshtaki wanadai kwamba kodi zilizowekwa katika Sheria ya Fedha 2023 ni batili na zinakiuka kipengele cha 23 cha katiba.
Chanzo: VOA
===
Hata kama ni Utawala Bora, huu upuuzi wa Kukwamishwa Kila kitu Usiwepo Tanzania.
Badala ya Kuzuia specific areas zinazolalamikiwa Wanazuia Finance Bill yote. Sasa hii sio Nchi tena Bali failed State.
My Take
Mtamuua huyo Nabii wenu fake Ruto, amekwisha kama mtu mkavu Sasa na hili ndio kabisaa mtakuja Kuta kajitundika 😂😂