johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hujajibu swali 😂Tanzania ni shamba la bibi halina mwenyewe
Utajifunza nini na wakati tunaongozwa na watu ambao hawana akiliHujajibu swali 😂
Acha Siasa uchwaraMahakama ni tawi kuu la CCM
Mambo ya PPP au?Tanzania hakunaga mambo hayo.
Rostam hukumsikia?Acha Siasa uchwara
Huyu maza ni hovyo kabisaKwani huoni mama ulikuwa upigaji baada ya kudhulimiana ndiyo yanakija haya na wataona na mengine.
Sikumsikia, alisemaje?Rostam hukumsikia?
Waulize UWT wenzioSikumsikia, alisemaje?
Umeshapanic 😂Waulize UWT wenzio
Tuliwaambia Hv, hawa mabwana mdogo akina David Kafulila walishakuwa tayari matumbili kamili ni waimba mapambio tu kichwani hakuna kitu.Mahakama kuu ya Kenya imeagiza Adani asiruhusiwe kufanya Shughuli yoyote nchini Kenya
Aidha hakuna PPP itakayoruhusiwa kwa sasa kwenye Shirika la Umeme wala Uwanja wa Ndege kwani Adani anaweza kurudi kwa jina lingine
Source: Citizen Tv
Huku mahakama ziko mfukoni mwa KafulilaMahakama kuu ya Kenya imeagiza Adani asiruhusiwe kufanya Shughuli yoyote nchini Kenya
Aidha hakuna PPP itakayoruhusiwa kwa sasa kwenye Shirika la Umeme wala Uwanja wa Ndege kwani Adani anaweza kurudi kwa jina lingine
Source: Citizen Tv