Mahakama kuu ya Kenya yaamuru ADANI asijihusishe na Shughuli yoyote nchini humo! Tanzania tuna la kujifunza au Wao wajifunze kwetu?

Mahakama kuu ya Kenya imeagiza Adani asiruhusiwe kufanya Shughuli yoyote nchini Kenya

Aidha hakuna PPP itakayoruhusiwa kwa sasa kwenye Shirika la Umeme wala Uwanja wa Ndege kwani Adani anaweza kurudi kwa jina lingine

Source: Citizen Tv
Hapa kuna mahakama? Kuna takataka za zinaitwa mahakama
 
Mwandishi, si ungeanza na kuelezea ADANI ni nini?
 
Ulaya, Canada, Marekani, hurusiwi kufanya biashara hata ya ku kuimba taarabu na ku dance nchini mwao iwapo huko unakotoka umechafuka kwa ku repu watu, umeiba umekimbilia kwao, umeuza mi skanska na mihardati, umehonga mapolisi na mawaziri na mahakama za kwenu..... HUINGIII KUPELEKA uchafu wako kwao na biashara zako chafu kwao!

Mambo ya wazungu haya, Kenya wanajitahidi sana masikini ya Mungu, kuiga iga wanapoweza. Sisi ndio tunawaangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…