Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kwa upigaji wa zaidi ya Tsh. Millioni 600

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kwa upigaji wa zaidi ya Tsh. Millioni 600

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.

---

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya TZS millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi.

TAKUKURU inaendelea na uchunguzi dhidi ya watuhumiwa kutoka ofisi ya uhasibu ili wafikishwe mahakamani.

Chanzo: Azam TV
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.

Chanzo: Azam TV
Hivi naotaaa ama?

Yaani hela zinaibiwa mahakamani? Tena mahakama kuu?
 
Just Imagine Hawa ndio wanatakiwa wasimamie utoaji Haki harafu wanadhukumu Haki za mirathi za watu.

Kiufupi haki.iko.mbinguni hapa Duniani ni mzaha tuu
 
Just Imagine Hawa ndio wanatakiwa wasimamie utoaji Haki harafu wanadhukumu Haki za mirathi za watu.

Kiufupi haki.iko.mbinguni hapa Duniani ni mzaha tuu
Ndiyo maana Matajiri uchwara ana kudhulumu alafu anakwambia nenda Mahakamani wala siogopi, akijua kua huko Mahakamani akitembeza Rushwa wanampa ushindi! Pesa Shetani mbaya sana!!
 
Back
Top Bottom