Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Hivi naotaaa ama?Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.
Chanzo: Azam TV
Sasa kama mahakama ni wezi haki tutapata wap??Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.
View attachment 2687107
Chanzo: Azam TV
Hazijabadhiriswa, bali zilibadilishiwa matumizi.Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.
View attachment 2687107
Chanzo: Azam TV
Nashauri Mahakama kuu apewe Muwekezaji!!Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022.
View attachment 2687107
Chanzo: Azam TV
Ndiyo maana Matajiri uchwara ana kudhulumu alafu anakwambia nenda Mahakamani wala siogopi, akijua kua huko Mahakamani akitembeza Rushwa wanampa ushindi! Pesa Shetani mbaya sana!!Just Imagine Hawa ndio wanatakiwa wasimamie utoaji Haki harafu wanadhukumu Haki za mirathi za watu.
Kiufupi haki.iko.mbinguni hapa Duniani ni mzaha tuu