Mahakama Kuu yatengua amri ya serikali ya kuzuia maandamano

Mahakama Kuu yatengua amri ya serikali ya kuzuia maandamano

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mahakama Kuu ya Kenya imetengua amri ya serikali ya kuzia maandamano ya Upinzani.

Jaji John Mativo amesema kuruhusu marufuku hiyo itakua kinyume na katiba kwa kuwa haki ya kupiga na kuandamana zinalindwa na katiba na mamlaka husika zinatakiwa kusimamia mandamano.

Muungano wa Upinzani (NASA) umesisitiza wafuasi wake watafanya maandamano nchi nzima leo na Kesho siku ya uchaguzi.

Mwanzoni serikali ilipiga marufuku maandamano kufanyika kwenye miji hiyo ikisema waandamanaji wanapora na kuharibu mali za wafanyabiashara

Kenya: Serikali yapiga marufuku maandamano katikati ya miji ya Mombasa, Kisumu na Nairobi
============================================================

The High Court has declined to grant orders to stop NASA anti-IEBC demonstrations.

Justice John Mativo on Wednesday morning ruled that granting such orders, the court would be determining the case unconstitutionally since both the right to vote and demonstrate are guaranteed in the Constitution and must be balanced.

“I must be certified that the application meets the legal facets. An applicant is supposed to demonstrate a good case, granting such orders is a matter of discretion which must be exercised judicially and in accordance with the law,” said Justice Mativo.

Justice Mativo further said that since demonstrations are guaranteed and protected by the constitution, the relevant authorities are supposed to handle the demonstrations.

The National Super Alliance (NASA) has insisted that its supporters will stage countrywide demonstrations including today and tomorrow (October 26).

Source: Citizen Tv
 
Nini maana ya haya mambo. ..
Kuandamana kupinga uchaguzi ambao mwingine anashiriki na matukio yote yafanyike eneo moja.

Hiyo mimba sijui kitazaliwa nini..
 
Siyo mwanasheria lakini naona hukumu hii inamakosa. Haki ina mipaka yake.
 
Hii mahakama y Kenya inaukakasi sana kwenye baadhi ya maamuzi yake
 
Kazi kweli kweli hata kama demokrasia basi itakuwa imepitiliza sana.
 
Back
Top Bottom