Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
Wadau taarifa rasmi toka chombo cha umma TBC-Taifa ni kwamba mgomo uliotangazwa na chama cha madaktari kuanza kesho tarehe 23.06.2012 mahakama kuu kitengo cha kazi imeamuru kusitishwa kwa mgomo huo kutokana na madhara makubwa yatakayotokana na mgomo huo. Nawasilisha.