N Nsaji Mpoki JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 396 Reaction score 68 Aug 17, 2009 #1 Mko wapi wana JF? habari muhimu kutoka TZ ni kuwa Zombe na wenzake wako huru.
H Hofstede JF-Expert Member Joined Jul 15, 2007 Posts 3,577 Reaction score 1,109 Aug 17, 2009 #2 Nsaji Mpoki said: Mko wapi wana JF? habari muhimu kutoka TZ ni kuwa Zombe na wenzake wako huru. Click to expand... Tatizo lako wewe unajificha sana. wenzako wameshavuka mtaa wa kumi wewe ndiyo unawatafuta mtaa wa kwanza! Hebu waangalie hapa. https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/36454-hukumu-ya-zombe-aachiwa.html
Nsaji Mpoki said: Mko wapi wana JF? habari muhimu kutoka TZ ni kuwa Zombe na wenzake wako huru. Click to expand... Tatizo lako wewe unajificha sana. wenzako wameshavuka mtaa wa kumi wewe ndiyo unawatafuta mtaa wa kwanza! Hebu waangalie hapa. https://www.jamiiforums.com/habari-hoja-mchanganyiko/36454-hukumu-ya-zombe-aachiwa.html