andrew tezie
Member
- Jan 25, 2014
- 13
- 2
Nashindwa kuelewa ni kwa nini mahakama zinapokea migogoro ya vyama na wanachama wake.Mfano imetokea kutokuelewana kati ya mwanachama na uongozi wa chama,na chama kikiwa na katiba yake lakini mwanachama anapeleka tatizo mahakamani ikiwa vyama vyenyewe vina vikao vyake na vina katiba au miongozo yao,ni kwa nini matatizo haya mahakama zisiyaache yakatatuliwa na vyama vyenyewe kwa mujibu wa katiba zao?