Mahakama nchini kama haitendi haki kwa watumishi wake iweje itende haki kwa wananchi?

Mahakama nchini kama haitendi haki kwa watumishi wake iweje itende haki kwa wananchi?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Nachelea kusema hivyo kwa kuona kabisa mahakamani ni wanafiki wanaposikiloza kesi za wananchi wakati huohuo wamawasimamisha watumishi wao kwa kipindi kirefu pasipo kutoa maamuzi juu ya tuhuma zinazowakabiri.
 
Mahakama haipo huru kwa sasa, inahitaji reform kubwa ya mahakimu na majaji. Ingawa sasa mahakama yenyewe inapambana kuongeza majengo na sio kuwafungua mindset majaji wawe huru na sio wafuasi wa serikali.

Kuhusu watumishi wa mahakama na wao wabadilike, huwa wanajibu wananchi kijeuri sana. Sasa hii ya kusimamishwa muda mrefu ni kama mkuki kwa nguruwe
 
Hayo majengo yamejengwa kwa mikopo toka World Bank ambao wamevuruga sana kwenye miradi mingi na kuwaacha wananchi wakihaha. Sasa wameamua kusaidia mahakama kupata kinga pale malalamiko yaingiapo mahakamani. Hayo majengo mazuri lkn hayahakisi haki inayotendeka ndani ya hizo mahakama.
 
Jaji Mkuu amekuwa mwanasiasa. Hajui kuwa mahakama sio majengo bali utendaji. Japo ni muhimu, lakini watu hawataki majengo bali wanataka kupata haki zao wanazodai, tena haki ipatikane kwa wakati.
 
Wanasiasa wanaharibu mahakama zetu
 
Back
Top Bottom