HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Jaji Mkuu amekuwa mwanasiasa. Hajui kuwa mahakama sio majengo bali utendaji. Japo ni muhimu, lakini watu hawataki majengo bali wanataka kupata haki zao wanazodai, tena haki ipatikane kwa wakati.Hayo majengo yamejengwa kwa mikopo toka World Bank ambao wamevuruga sana kwenye miradi mingi na kuwaacha wananchi wakihaha. Sasa wameamua kusaidia mahakama kupata kinga pale malalamiko yaingiapo mahakamani. Hayo majengo mazuri lkn hayahakisi haki inayotendeka ndani ya hizo mahakama.